DonBosco got a talent ni mashindano ambayo yatajumuisha vipaji mbalimbali ikiwemo kuimba,kucheza,sarakasi,maigizo,comedy pamoja na chemshabongo. Mashindano hayo yatafanyika kilasiku ya jumapili kuanzia saa 7:00 mpaka saa 8:55 mchana zawadi kedekede zimeandiliwa kwa mshindiwa kwanza mpaka wa tatu kwa kila mchezo hivyobasi kwa kila mshiriki itabidi kujiandaa vyema kwani michuano hiyo itakuamika likuta kua kuna round nne ndaniya wikinne kwa wale ambao watafanikiwa kuibuka videdea kwakila round kutakua nazawadi za kena kwa round yamwisho kutakua kuna zawadi kubwa zaidi pamoja na vyeti ambavyo vita tolewa kwa kila mshiriki.
Mashindano hayo yataweza kuoneshwa live katika YOUTUBE channel ya DON BOSCO DIDIA YOUNG JOURNALIST CLUB. Kutakua na majaji mbalimbali.
Mashindano hayo yameweza kudhaminiwa naYOUNG JOURNALIST MEDIA pamoja na uongozi wa shule ya Don Bosco DiDia Secondary School.
kila mwanafunzi anahimizwa kuonesha kipajichake katika mashindano hayo. kama ilivyo kawaida DON BOSCO HOUSE OF TALENT tunatarajia kuona vipaji vya kutosha.
WASHIRIKI WANA PASWA KUWASILISHA MAJINA YAO KWA OFISI YA DON BOSCO DIDIA YOUNG JOURNALIST CLUB NAKUPEWA NAMBA YAUSHIRIKI.
VIGEZO NA MASHARTI HUZINGATIWA
Comments