top of page
This site was designed with the
.com
website builder. Create your website today.
Start Now
Home
Event
Forum
Publications
Notice Board
Groups
Photos
Videos
Members
Our team
Plus
Use tab to navigate through the menu items.
Login
DON BOSCO DIDIA YOUNG JOURNALIST CLUB
Play Video
Play Video
12:58
DON BOSCO DIDIA YOUNG JOURNALIST CLUB
Don Bosco Didia Documentary / Don Bosco Didia Secondary School / Young Journalist Club
Play Video
Play Video
01:24
DON BOSCO DIDIA YOUNG JOURNALIST CLUB
Muhtasari wa taarifa ya habari za wiki ( february 1 - 8 /2021) Don Bosco Didia Young Journalist Club
Waziri wa mazingira ameweza kuhimiza wanafunzi wa Don Bosco Didia kuweza kutunza na kusafisha mazingira yao ili kuweza kujikinga na magojwa ya milipuko……. kamanda wa scout ameweza kuhimiza wanafunzi kuweza kutumia tanki la kunywea maji kwa matumizi yalio sahihi kwani maji ni kitu muhimu katika maisha yetu…… kocha matabishi ameweza kuhimiza wanafunzi waDon Bosco Didia kuweza kujiunga na mchezo huo wa kikapu na kuweza kuinua vipaji vyao……… Mwenyekiti wa House system katika shule ya Don Bosco Didia ameweza kuhimiza wanafunzi kujiunga na michezo mbalimbali ambayo inatolewa na kufundishwa hapo Don Bosco Didia ili kuweza kuibua vipaji vyao…… Wanafunzi wameweza kushukuru uongozi wa shule kwa kuweza kuwapa fursa ya kucheza shuleni hapo na kuweza kupewa ushirikiano mkubwa kwa kuweza kununuliwa vifaaa vya michezo………
Back
bottom of page